Wednesday, April 15, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA!



TANZIA!
Khamis Mcha Khamis ‘Viali’ ambaye ni mchezaji wa Azam FC pamoja na timu ya taifa ya zanzibar ‘ Zanzibar Heroes ‘ na ile ya Muungano ‘Taifa Stars ‘, amefiwa na Baba yake mzazi hapo jana.
Mzee Mcha Khamis amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu, alisumbuliwa na matatizo ya njia ya mkojo, taratibu za mazishi zinafanywa.
Klabu Azam FC, Kandili Yetu, Uongozi na wafanyakazi wa Times FM unampa pole Viali na familia yake na kuwataka wawe na subra katika kipindi hiki kigumu. Innalillah wa innaillaih rajiun!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.