Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa-Kilombero limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Fuso uso kwa uso na hatimaye magari hayo kushika moto na kuteketea katika maeneo ya Ruaha Mbuyuni kilomita kadhaa kutoka mjini Iringa.
Habari zaidi zinasema kuwa watu kadhaa waliokuwemo katika basi hilo wamepoteza maisha akiwemo pia dereva wa Fuso ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi ya leo..R.I.P


Note: Only a member of this blog may post a comment.