Sunday, April 5, 2015

Anonymous

ALICHOKIANDIKA MH. ZITTO KABWE KUHUSU AL-SHABAB NI GUMZO MTANDAONI! SOMA HAPA

Katika account yake ya facebook Zitto Kabwe ametoa mtazamo wake...amesema!
"Kuna haja kubwa ya kuwa 'alert' na hali ya usalama. Vyombo vyetu vya dola viwe makini sana wakati huu dhidi ya tishio la wahuni wa Al Shabab. Pia Serikali yetu iungane na Serikali ya Kenya na nchi nyingine za EAC kupambana dhidi ya magaidi haya. Tusione aibu kupambana nao.
Tusione woga. Bila kuwapiga na kuwasambaratisha Al Shabab eneo lote la Mashariki mwa Afrika litakuwa na mashaka makubwa ya usalama...


Nawatakia herĂ­ ya Pasaka wananchi wote. Tutumie muda huu kujiombea na kuliombea Taifa letu. Pia tuwaombee wenzetu wa Kenya waliopoteza maisha kutokana na shambulio la kigaidi.
Mataifa ya Afrika Mashariki yaingie kusambaratisha wahuni hawa wa Al Shabab. Leo Kenya, kesho kwetu."

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.