Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, April 13, 2015
Anonymous
AJALI TENA: GARI LA WAOMBELEZAJI LAGONGANA USO KWA USO NA SEMI-TRELA, WALIKUA WANATOKA MSIBANI!
Kuna ajali nyingine imetokea jana maeneo ya Ngilori na Tabu hotel katika wilaya ya Gairo kati ya fuso iliyokuwa imepakia watu waliotoka msibani na gari kubwa aina ya Semi-Trela uso kwa uso.
Idadi kamili ya watu waliopoteza maisha na majeruhi bado haijafahamika!
Note: Only a member of this blog may post a comment.