Monday, April 6, 2015

Anonymous

50 PICHAZ: TAZAMA TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR!

A5
A1 A2 Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando akienda sawa A3 A4 A6 A7 Mwenyekiti wa kwaya ya vijana Kijitonyama Shedo a.k.a MC Foma Foma hapa alinyanyua mikono baada ya vyombo vya muziki kukata wakati Rose Muhando akicheza. A8 A9 A10 Mwandishi wetu aliwakuta Munishi na Upendo Nkone wakiwa sehemu moja….
Kuna Siasa Katika Tamasha la Pasaka?,Siku ya Jana Katika Tamasha la Pasaka wananchi walitaarifiwa kuwa Mwanamuziki wa Injili Munishi aliyeimba wimbo wa “Malebo”.
Pamoja na Makelele ya watu kudai Munishi apande jukwaani jambo hilo lilipotezewa mazima mazima. Mpaka tamasha linaisha saa 3 Usiku Mwanamuziki wa Injili aliyekuwa Backstage alikuwa ni Munishi Pekee.
Mwandishi wetu alitaka kujua je! kutokuimba kwake kunatokana na ugomvi wake na CCM na tukiwa tunajua fika Msama ni Supporter wa Chama Tawala? Pengine kuimba kwake siku ya jana kungemuharibia Msama pengine Munishi angesimama na Kuongea maneno yake against CCM mbele ya Mhe. Membe kungechafua hali ya hewa uwanjani nahisi.
Ugomvi wa Msama na Munishi ni rahisi kusovika kuliko wa Msama na Watawala. Pole Munishi
A11 Ikafika time Mh Benard Membe, Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania kutoa tuzo kwa vyombo vya habari na radio kutokana na mchango wao katika matamasha ya Msama. A12 A13 Christina Shusho akihojiwa na mwandishi wa CloudsTv Bw.Samuel Sasali. A14 Big Boss wa Praise Power Radio George Mpela akipokea tuzo kwa Mh.Benard Membe A15 A16 Magupa akipokea tuzo kwa niaba ya Chanel Ten A17 A18 Mh.Benard Membe, Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania akapewa tuzo na Mchungaji Mwakibolwa A19 A20 Keki ikakatwa……. A21 Mh.Benard Membe akimlisha Keki Msama A22 A23 Cheupe Mrs Msama naye akalishwa keki na Mh.Benard Membe A24 A25 A26 Safu ya wapigaji vyombo wa Dr.Rebecca Malope…. A27 A28 Mapozi ya ubora wake!! A29 A30 Waite wazee wa mwendo akili kidoogoo Kijitonyama Uinjilisti.Hawa ndio waimbaji walio fanya kweli uwanja mzima ukapiga keleleeeeee hatariiiiiiii A31 MD wa Kiango Media Samuel Sasali naye akupitwa na udaku simu A32 Kiongozi wa Kijitonyama Shedo akiteta jambo na Alex Msama baada ya kumaliza kuimba…..mipango ya fitina mwee!! A33 A34 John Lisu na timu yake walikuwepo mdau wangu. A35 A36 A37 Eti wanamuita mzee wa pamba Emmanuel Mbasha akicheki jambo kwa wajina wangu Jimmy. A38 A39 A40 Dr.Rebecca Malope kama kawa alifanya zaidi ya jana….huyu Mama anajua. A41 A42 A43 A44 A45 A46 Mpiga picha akapigwa picha Mbise wa Wapo Radio fm A47 Upendo Nkone na Rose Muhando wakimpa support Rebecca Malope.
Picha zifatazo hapo chini ni Solly Mahlangu toka South Africa alipofanya kweli siku ya jana….. A48 A49 A50 Waimbaji wa Kijitonyama Uinjilisti wakifatilisha vitendo vya Solly Mahlangu. A51 A52 A53 A54 Nimwendo wa kuzungukaaaaa. A55 A56 A57 A58 A59 A60 A61 A62 A63 A64 A65 A66 A67 A68 Solly akiwa na watoto wake pamoja na mkewe.
-Via unclejimmytemu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.