Tuesday, March 31, 2015

Anonymous

Wanafunzi Wapost Picha za Mkuu wa Shule Akiwa Mtupu Baada ya Ku-hack account ya Twitter ya shule!

20130221-TWITTER-HACK-063edit
Matukio mengi ya matumizi mabaya ya mtandao yamekuwa yakiripotiwa sana, iko ishu ya watu kuzushiwa vifo, picha chafu kusambazwa mitandaoni.. Nimekutana na hii story imebidi niisogeze hapa huenda wewe hujaipata. 

Wanafunzi wa Shule West Sussex Uingereza, inafanya uchunguzi ili kujua wanafunzi waliohack akaunti ya Twitter ya Shule hiyo.
Watu walivamia akaunti hiyo wakaanza kupost picha za Mkuu wa Shule akiwa mtupu. 

Uchunguzi umeonesha kuwa picha hizo zilikuwa za kutengenezwa hazikuwa za ukweli.
Watu walioingia kwenye akaunti  ya Shule hiyo walishangazwa kukuta picha za utupu za Mkuu wa shule hiyo.
9712379-large
Polisi wanafanya uchunguzi kujua namna akaunti hiyo ilivyovamiwa wakati ni watu wachache wanaojua namba ya siri, Shule hiyo imeomba radhi kutokana na tukio hilo kupitia akaunti hiyo ya twitter na kusema uchunguzi unaendelea.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.