Imebainika kuwa, chanzo cha ile RJ Pub ya staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula kufungwa ni kutokana na vurugu na makelele yalikuwa yakipigwa na wasanii wenzake usiku kucha.
Chanzo cha kuaminika kilieleza kuwa, Pub hiyo ilikuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa eneo hilo kwani muziki ulikuwa ukifunguliwa kwa sauti na wateja wanapolewa vurugu zimekuwa zikitokea.
“Unajua tulikuwa hatuna pa’ kukutania zaidi ya pale, tulikuwa tukikesha mpaka asubuhi, kijiwe kilikuwa kikichanganya kuanzia saa saba usiku lakini majirani ndiyo wakamaindi na polisi wakatoa amri baa hiyo ifungwe,” kilidai chanzo hicho.
Baada ya habari hizi kulifikia Ijumaa , lilimtafuta Johari ambaye alikiri kufunga baa yake lakini si kwa madai hayo bali ni kwa ajili ya kubadili biashara.

Note: Only a member of this blog may post a comment.