Monday, March 30, 2015

Anonymous

VIDEO: Hemed PHD Afunguka Kuhusu Kutumia Poda za Kike, Ndoa yake Kubuma na Kwanini Anapendwa Sana na Wadada

Udaku TV imefanya mahojiano ya kina na msanii wa Filamu Nchini, Hemed PHD ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza sababu za kutumia poda na lipshine za kike, Ndoa yake kubuma na kwa nini mademu wanapenda kumshobokera.
Msikilize hapo chini Akifunguka.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.