Snoop Dogg aka SnoopMania alitinga kwenye ulingo wa mieleka ya WWE Jumatatu hii.
Rapper huyo aliungana na mcheza mieleka mkongwe, Hulk Hogan ili kuchuana
na Curtis ‘AxelMania’Axel ambaye alikuwa akimtania kwenye mitandao ya
kijamii.
-via bongo5

Note: Only a member of this blog may post a comment.