Monday, March 30, 2015

Anonymous

VIDEO: Ali Kiba Abadilishana Mate Live Ukumbini na Mtangazaji wa Clouds Fm Diva

Huenda mtangazaji wa Clouds FM, Diva akawa na kesi ya kujibu kwa mpenzi wake King Crazy GK kwa kilichotokea.Diva na hitmaker wa Chekecha, Alikiba usiku wa jana waligusanisha lips zao kama sio kubadilisha mate kwenye busu la haja walilopeana.

Diva ameshare video ya tukio zima kwenye Instagram ambayo mwanzoni zinasikika sauti za mashabiki wakishangalia kwa kutaja jina lake kabla ya Alikiba kumsogelea na kumpiga busu.

Huenda mashabiki hao waliwashinikiza wawili hao wafanye hivyo. Hata hivyo Diva ameonesha kulipenda busu hilo na kumwelezea Kiba kama mtu anayebusu vyema. “having Fun With @officialalikiba. Massive show… thank you guys for coming. kibah thanks for the kiss, sucha Good Kisser ‘ love you all. Thank yol for coming… but this kiss Baby is gon Kill Me lol #Jokking … but ey ‘ it was so much fun’ thank you Guys for coming … Happy People’ we killed it,” ameandika.
-bongo5

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.