Tuesday, March 31, 2015

Anonymous

TOP 10: Angel Di Maria aongoza kwa kuuza jezi ligi kuu ya England..Tazama ORODHA yote hapa!

Licha ya kutofanya vyema uwanjani, mchezaji wa Manchester United, Angel Di Maria ameongoza kwa mauzo ya jezi yake katika ligi kuu ya England kwa mujibu wa muuzaji wa reja reja wa duka la Sports Direct ambaye anauza jezi za timu za Arsenal, Aston Villa, Chelsea, Liverpool, United,Manchester City,Tottenham na Newcastle.
Dimaria
Jezi ya mchezaji ya mchezaji huyo imekuwa ikiuliziwa na mmoja karibu kila wanunuzi wa jezi tofauti 10 .
Jezi ya mchezaji huyo inachukua asilimia 9.59 ya soko la jezi za wachezaji akifutiwa na Alexis Sanchez.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.