Rapper
maarufu kwenye headlines za dunia, Drake aliotewa kwenye hizi picha na
Mapaparazzi huko Australia akiwa na mrembo ambae inaaminika ndio
girlfriend wake mpya.
Mrembo
anaitwa Bernice Burgos mwenye umri wa miaka 34 ambae ana asili ya
Puerto Rico na ni model/video queen aliyetokea kwenye video kadhaa kama
Work Out ya J. Cole na ‘Diced Pineapples’ ya Rick Ross, Wale na Drake
kwa mujibu wa Necole Bitchie.
Drake mwenye umri wa miaka 28 aliwahi kukiri zaidi ya miaka minne iliyopita kwamba kwa wakati huo hajawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo ambae wanalingana umri, siku zote warembo wake huwa wanakuwa wamempita kiumri.
Unaweza kutazama video mbili alizotokea huyu mrembo, kuzicheki ===>>BOFYA HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.