Thursday, March 26, 2015

Anonymous

PICHAZ: WAPI WANAFIKI?! MIMBA YA ZARI THE BOSS LADY YAONEKANA WAZIWAZI

Zari the Bosslady yupo nchini alikokuja kumsalimia mpenzi wake, Diamond Platnumz. Hivi karibu kulianza kuzuka maneno kutoka kwa baadhi ya watu kuwa wana mashaka na kama kweli mrembo huyo wa Uganda ni mjamzito. Lakini kwa mujibu wa picha iliyosambaa mtandaoni leo, ni kweli Zari anatarajia kuwa mama kwa mara ya nne.

Kwenye picha hiyo, Zari anaonekana akiwa amevaa gauni jekundu ambalo linaonesha wazi jinsi mimba yake ilivyokuwa. Picha hiyo imevuta hisia za wengine akiwemo Ray C aliyeipost kwenye Instagram na kuwataka mashabiki wake wamtaje baba wa mtoto huyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.