Binti huyu, Naima Salum amekuwa hakosekani katika mechi za Simba SC siku
za karibuni akiwa amevalia vazi la wekundu wa Msimbaz siku zote ambavyo
kamera Bin Zubeiy ilimnasa jana Uwanja wa Taifa,Dar Es Salaam Timu yake
ikiichapa Yanga SC.Binti huyo inadaiwa yupo katika mahusiano ya
kimapenzi na kipa wa Simba SC Peter Manyika!
Wednesday, March 11, 2015
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
SPORTS AND ENTERTAINMENTS,
UDAKU
on Wednesday, March 11, 2015


Note: Only a member of this blog may post a comment.