Monday, March 2, 2015

Anonymous

PICHAZ: Alicia Keys kwenye picha na mtoto wake mchanga pamoja na familia yake..

Ni miezi miwili tangu Alicia Keys ajifungue mtoto wake, Genesis Ali Dean. 

Tofauti na mastaa kama Beyonce na Kelly Rowland ambao walificha sana sura za watoto wao walipokuwa wadogo, Alicia Keys aliweka picha kwenye ukurasa wake @Instagram akiwa na mtoto wake, halafu nyingine akiwa na familia yake yote. 
Post ya Alicia aliyoweka jana inasomeka hivi; “Motherhood is a miracle that continues to unfold….. And the words I’ve been writing can’t wait to be told! Wishing you a miraculous Sunday!“– @
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.