Miongoni mwa zile zilizopewa Headlines kwenye Magazeti ya leo March 24,
iko ya TMA imesema mvua kubwa inatarajiwa kunyesha katika baadhi ya
maeneo nchini na kutoa tahadhari kwa wakazi wa mabondeni, Waziri wa
Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amekabidhi vifaa mbalimbali katika idara ya wanyamapori kwa ajili ya kudhiti ujangili nchini, Rais Jakaya Kikwete
amelitaka Jeshi la Polisi kuwa makini hususani katika kipindi hiki cha
kuelekea kwenye uchaguzi mkuu na Wabunge wameitaka Serikali kuweka
vipengele vya adhabu kwa banki na kampuni za simu zitakazobainika
kuwaibia wateja wao.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza uchambuzi wa story zote… -via millardayo
Bonyeza play hapa chini kusikiliza uchambuzi wa story zote… -via millardayo


Note: Only a member of this blog may post a comment.