Tuesday, March 10, 2015

Anonymous

MREMBO MKARE Ashley Toto WA BONGO MUVI Afunguka Kuhusu Kuwa na Mahusiano na Diamond Platinumz!

Mrembo na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake nchini Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia  taarifa za udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusiano ya siri. 
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na kuandika maneno haya. 

“Waandishi wa magazeti hamuna kazi za kufanya??? au ndio hizo za kuota na kuandika vitu vya …ushuzi ...... I have nothing to do with diamond ..........I have ma boyfriend so plz ...”
Nadhani ameeleweka.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.