Thursday, March 12, 2015

Anonymous

MAJONZI! [PICHAZ] TAZAMA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU DAR (UDSM) WALIOFARIKI AJALI YA JANA IRINGA!


Hii ni picha ambayo inonyesha baadhi wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ambao pia wamefariki katika ajali ya gari ambalo liliangukiwa na kontena eneo la Changarawe lililopo mji mdogo wa Mafinga mkoani Iringa.
Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea jana.
Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.