Friday, March 27, 2015

Anonymous

Lulu: Ma ‘Good Men’ Wapo Mbinguni, Hapa Duniani….

Mtazamo wa staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhusu  ‘ma good men”wanaume wazuri (tabia) kuwa wapo wachache sana hapa duniani umechukuliwa kwa mitazamo tofauti  tofauti huku wadada wengi wakionyesha kumuunga mkono na wakaka wengi wakonyesha kumpinga na kusema wanawake wazuri (tabia) ndio wachache. 

Lulu kwenye ukurasa wake mtandaoni aliweka picha yenye maneno  (hapo juu) yanayosomeka kwa lugha ya malkia kama “ You’ll never see women  auguring or battling over a good man.Good men don’t put you in the position of not knowing where you stand” 

Kisha akaandika.
“Haya wenye ma Good men hongereni....msiokuwa nao mtakutana nao Mbinguni Inshaallah …mana duniani wanawezekana wako wawili tuna wako full tayari”
Sina uhakika kama ni kweli au laa, lakini  hapa kila mtu anaweza kuwa sahihi kwa kile anachokiamini.
Mzee wa Swaga

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.