Kumekuwa na tabia ya wanawake kutoa rushwa ya ngono makazini Kwa Research yangu Ndogo nimegundua.
Asilimia 60 ya wanawake wanaopata hivyo vitu makazini ni kwa kutoa rushwa ya ngono, 30 ni kwa ajili wao wana watu wanaowajua na 10 wao wameingia kwa njia ya kawaida.
Hii imetokea sana hata humu ndani wapo wahanga mbalimbali ya wanawake mbalimbali walioingia kwenye hii disaster kwa pande zote mbili wanaume na wanawake.
Nilichogundua kuwa hii kitu haiepukiki kwani kwa mfumo wa maisha ulivyo tight halafu inatokea chance ya mtu kukupa kazi au cheo ila tu kwa kigezo cha akuvue chip I kiukweli ni asilimia 1% tu watakataa ila wote waliobaki wanakubali.
So hili tatizo haliwezi kwisha leo wala kesho na kwa jinsi hali ya ajira inavyozidi kwenda mambo yanazidi!

Note: Only a member of this blog may post a comment.