Friday, March 20, 2015

Anonymous

HOT NEWS: Ratiba ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya Hii hapa #UEFAChampionsLeague

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika Switzerland.

Katika ratiba hiyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid huku Barcelona wao wakiwa na kibarua kigumu dhidi ya Paris Saint-Germain ama ‘PSG‘ ambayo iliiondoa Chelsea kwenye michuano hiyo.
FC Porto watakutana na Bayern Munich nao Juventus wakiwa na kibarua kikali dhidi ya AS Monaco ya Ufaransa iliyoiondoa Arsenal.

 Mechi:
PSG Vs FC Barcelona
Atletico Madrid Vs Real Madrid
FC Porto Vs Bayern Munich
Juventus Vs Monaco

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.