BAADA ya
kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua,
mwanahabari wetu ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na
shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za
kweli.
Mitandao
mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana
huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha
mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.
Kupitia
akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande cha video
akiwa amembeba mtoto mchanga bila kuandika chochote ambapo mashabiki
wake walimiminika na kuanza kumpongeza wakijua tayari kajifungua.
Kama hukuiiona video hiyo===>>BOFYA HAPA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.