Tuesday, March 24, 2015

Anonymous

HABARI PICHAZ: Zari the Bosslady atua kwenye ‘ikulu’ ya Diamond

Zari amepost picha hii kwenye Instagram akiwa kwenye chumba cha kulala kwenye nyumba mpya ya Diamond.
First lady, Zari the Bosslady ametua rasmi kwenye nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo yeye mwenyewe anaiita ‘state house’.

Mama kijacho huyo amepost picha akiwa kwenye chumba cha Diamond kilichopo kwenye nyumba hiyo iliyopambwa kwa vitu vingi vya thamani.
Gypsum ya chumba hicho kipo customised kwa jina lake.
“Gotta love my current view,” aliandika Zari kwenye picha inayoonesha gypsum hiyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.