Thursday, March 26, 2015

Anonymous

MAHABA NIUE: CHEKI DIAMOND AKIPIKA CHAKULA NA KUMLISHA ZARI HUKO HUKO JIKONI!

Ni wavulana wachache ambao wanaweza kuingia jikoni na kupika chakula kwaajili ya mpenzi au mke wake. Lakini hiyo imejulikana tangu awali kuwa ni tofauti kwa msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ambaye amekuwa akimpikia mpenzi wake Zari Hassan chakula kabla hajawa mjamzito na hata sasa akiwa mjamzito. 

Tabia hiyo imemfanya Zari Hassan awe na hili la kusema, Kupitia account yake ya Istagram Zari ameandika hili akiwa kaambatanisha na picha hapo juu "Blessed is the woman who has a man that can cook... nyt fam!!!" 

Kwako msomaji, Kama ni wakike tupia maoni yako kama unapenda mpenzi akupikie au la!, na kama ni wakiume unamuonaje Dangote kwa tabia yake hiyo?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.