Wednesday, March 25, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: MOTO WAUNGUZA KITUO CHA TANESCO KURASINI, DAR

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde. Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.