Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo. Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya.
Ajali imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asubuhi ya leo Ijumaa tarehe 20/3/2015.
Ajali imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asubuhi ya leo Ijumaa tarehe 20/3/2015.

Note: Only a member of this blog may post a comment.