riyamaally
Ajali iliowapata ndugu zetu maeneo ya MWIDU mkowa wa pwani kilometa 50 kutoka morogoro mjini mpaka MWIDU kwa walivotwambia amevunjika mwenzetu mguu Pole sana kwao Asanteni kwa duwa na sala tumewaacha na mdogo wa Marehemu #ABDUBONGE ameshaita gari linawafata na kuwa leta morogoro mjini Tuombeeni tuzike salama turudi salama.... WAUNGWANA WANGU!

Note: Only a member of this blog may post a comment.