Picha Diamond Platinums akiwa na Zari the big boss Pamoja mkurugenzi wa Kampuni ya AMINA DESIGN Jana Dar free Market.
Mwenye Macho haambiwi tazama. Jionee
Picha zilizoigwa jana Katika Maeneo Mawili tofauti Na Kuonyesha
Maendeleo ya Ujauzito wa Mpenzi wa Diamond Zari.Hakuna Ubishi tena kwa
sasa mambo yako biieeeee..

Sintah akiwa na Mwenzake Waki show Pamoja na zari the big boss ambaye kwa sasa yupo down town Bongo na Mpenzi wake Diamond.



Note: Only a member of this blog may post a comment.