Tuesday, March 31, 2015

Anonymous

11 PICHAZ: Huu ulikuwa mjengo wa Bondia Mike Tyson.. Ipo taarifa nyingine kuhusu mjengo huu

tyson
Miaka ya tisini bondia wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tyson alikuwa akimiliki Jumba la kifahari katika eneo la Southington, Ohio nchini Marekani. 

Muonekano wa jumba hilo pamoja na kujengwa na kunakshiwa kifahari na kutumia fedha nyingi, kwa sasa limekuwa likionekana kama gofu. 

Tyson alilazimika kuliuza jumba hilo mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni 1.3 baada ya kukumbwa na kashfa ya ubakaji na sasa litabadilishwa na kuwa kanisa.
tyson
tyson2
tyson3
tyson4
tyson5
tyson6
tyson7
tyson8
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.