Wednesday, February 11, 2015

Anonymous

WEMA SEPETU TENA! AZUA UTATA MKUBWA MTANDAONI!

Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasambaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwa hazionekani..

Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.
Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Swali Je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?.....Muda utazungumza.
Hivi unaweza kuacha CASH mezani kwako na ujumbe eti mwizi akiingia azichukue? Isome hii
===>>BONYEZA HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.