Mapenzi ya Chris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran
sasa yanaonekana kukua na kuimarika kadri siku zinavyokwenda na sasa
hata akili zao huenda zikafika mbali na kufikiria hata kufunga ndoa.
Jana ilikua siku ya wapendanao duniani na kila mtu kwa namna yake aliweza kusherehekea na watu au mtu ampendaye kwa namna alivyotaka kufanya.
Kwa upande wa Chris Brown alimwandikia mpenzi wake Karruaeche ujumbe wa kuonyesha anampenda huku akimshukuru kwa kuonyesha kumjali zaidi.
“Happy Valentine’s Day beautiful…. I’m so thankful to have [a] soul that cares for me the way you do. Love you babe”

Stori Kubwa zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo Tanzania February 15, 2015
===>>BONYEZA HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>BONYEZA HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.