Tuesday, February 24, 2015

Anonymous

STAA WA PICHA ZA UTUPU AZIDI KUJIMALIZA KWA JACQUELINE WOLPER!

Shani Ramadhani/Uwazi  
MSANII filamu za Kibongo, Manaiki Sanga amefunguka kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Walper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.
Msanii filamu za Kibongo, Manaiki Sanga akiwa na msanii mwenzake, Jacqueline Walper.
Akichezesha taya na Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda. 

“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini Mbeya na hawamfahamu Walper ila sijakata tamaa na naamini watanielewa tu kwa maaana ndoto yangu mimi ni kumuoa mtu ambaye ninampenda,” alisema Manaiki. 

Hivi karibuni Manaiki alitangaza nia ya kumuoa Walper ambapo wazazi wake walimkatalia na kumwambia atafute msichana wa kutoka mkoa wake.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.