PICHAZ: UNAAMBIWA HUYU NDIYE MSICHANA MZURI ZAIDI KULIKO WOTE AFRIKA MAGHARIBI!
Jarida la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim
kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi.Juliet
ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika
kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya
Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to
Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na
nyingine nyingi.
Mtandao wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii lakini mwandishi
ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim
is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the
most beautiful woman in Ghana?”
===>>BONYEZA HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
CELEBRITIES
on Thursday, February 12, 2015
Note: Only a member of this blog may post a comment.