Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.
Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:
"Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."
Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!



Note: Only a member of this blog may post a comment.