Wednesday, February 11, 2015

Anonymous

PICHAZ: [HATARI SANA] KIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA!

Mwendesha bodaboda akiendelea kuteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam,  juzi jioni ambapo alidaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia.
Wananchi wenye hasira  katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam,  juzi jioni walimchoma moto mwendesha bodaboda aliyekuwa amempakiza mwenzake ambao wanadaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia. 

Wawili hao wakiwa kwenye harakati kukimbia wananchi hao waliwazingira ambapo aliyepakizwa aliruka na kufanikiwa kukimbia lakini aliyekuwa akiendesha alidhibitiwa na kupewa kipondo kikali na kuchomwa moto na bodaboda yake.
 MAKALIO YA "BLAC CHYNA" MAMA WA MTOTO WA RAPA TYGA NI FEKI!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!  

(PICHA/HABARI: RICHARD BUKOS/GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.