Wednesday, February 11, 2015

Anonymous

CHUCHU HANS WA RAY AJITOA FAHAMU!

Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds TV.

Kati aliyofunguka ni Haya Hapa Chini:
Kwanza Amesema yeye na Ray Bado ni wapenzi Japo kuna tetesi kuwa Wameachana Kimya Kimya
Pili Amejitoa fahamu na kusema kuwa JOHARI hakuwahi kuwa Mpenzi wa RAY yeye anachojua walikuwa washiriki wa Biashara tu katika Kampuni ya JR.

PICHAZ: [HATARI SANA] KIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!  

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.