Wednesday, February 18, 2015

Anonymous

MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE AWAPA MAKAVU LIVE VIONGOZI TANZANIA!

Nyakaho Marungu akiwa kwenye pozi.
…Akiwa na binamu yake. Mama mzazi wa Nyakaho, Celestina Maro (kushoto),  akiwa na baba yake mdogo, Emmanuel Mgaya.
Mwandishi wa tovuti na TV Online wa GPL (katikati) akitoa pongeza  kwa mama yake Nyakaho.
MSICHANA Nyakaho Marungu (16) mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Baobab, mkoani Pwani aliyeibuka mwanafunzi bora wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 nchini, amewataka viongozi  nchini kuwa wakweli na waadilifu ili kuiletea nchi maendeleo na kutokumuudhi  Mwenyezi Mungu. 

Akizungumza na GPL nyumbani kwao Kitunda, jijini Dar es Salaam, amesema  wanafunzi wanaofanya vizuri wako wengi, ila hawapatiwi nafasi ya kuendelezwa taaluma zao. Aidha msichana huyo ametoa ushauri kwa wanafunzi kutenga muda wa kusoma kwa bidii na muda  wa kupumzika huku wakimtegemea Mungu.

 MWANAMUZIKI CHID BENZ AKIRI MASHITAKA YAKE MATATU MAHAKAMANI LEO! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA! 
(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.