Mwigizaji huyu ambae mara kadhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu kizuri sana kwake.
“Kuwa mama ni kazi poa sana- napenda sana yaani ningekua na uwezo wa kipesa ningezaa team ya mpira”, Alisema Faiza.
Mbali na watu kuendelea kumshambulia kuhusu uvaaji wa nguo zake akiwa na mtoto wake mwananamama huyu ameonekana ni mtu mwenye kufanya kile anachokiamni na sio watu wanataka nini.
Jionee baadhi ya picha hapo chini akiwa na mtoto wake ufukweni.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU
TENA!




Note: Only a member of this blog may post a comment.