MKALI wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amefunguka kuwa pamoja na kupoteza wazazi wake miaka kadhaa nyuma pindi akiwa mdogo, anaamini mtoto atakayejifungua atamfuta machozi ya muda mrefu ya kuwapoteza wazazi wake.
Mkali wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Aunty alifunguka ishu hiyo kwa upole, ambapo alisema kifo cha wazazi wake kilimfanya kulelewa na bibi yake pamoja na shangazi.“Kutokuwa na wazazi ni pigo kubwa kwangu, lakini hata hivyo naamini kwamba mwanangu atakuwa na furaha ambayo nilikuwa naipata kutoka kwa wazazi wangu, atakuwa ni zaidi ya rafiki au ndugu, ndiye atakayenifuta machozi ya kufiwa,” alisema Aunty.
INAUMA SANA! MANENO YA MWISHO YA POLISI ALIYEUAWA AKIMUOKOA MTOTO DODOMA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.