Millardayo:..’Vipi kuhusu Ndoa yako kwasababu uliolewa na Mtanzania aishie Dubai?
Aunt Ezekiel:..”Ndoa yangu bado ipo na itaendelea kuwepo na still bado mume wangu bado yupo..” Millardayo :..Kulikuwa na taarifa kuwa amefungwa gerezani..?”
Aunt Ezekiel: “Sipendi sana kukiongea hicho kwasababu kama nilivyosema mwanzo kwamba maisha yangu binafsi uwa ni maisha binafsi ambapo yakija ya usanii yanakuwa ya usanii, kwa hiyo hayo ni maisha yangu binafsi ila kwa kifupi sijaachika na ndoa ipo na itaendelea kuwepo…”
Millardayo:..”Na kuna taarifa kwamba una ujauzito wa Moze ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz is it true…?”
Aunt Ezekiel:...”Mimi mwenyewe nasoma kwenye magazeti , nasikia kwenye radio kama wewe unavyosema hivyo yaani lakini mimi binafsi ndio najua hii mimba ni ya nani..”
Unaweza uka bonyeza play hapa chini kuisikiliza interview yenyewe.
SAD NEWS: AISHA WA BONGO MUVI ANUSURIKA KIFO AJALINI!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA!
-millardayo
Note: Only a member of this blog may post a comment.