Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan.
Na Imelda Mtema
Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kazi ya ziada kuhakikisha shoga yake, Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan wanapatana.
Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kazi ya ziada kuhakikisha shoga yake, Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan wanapatana.
Chanzo chetu kilichokaribu na mastaa hao kilieleza kuwa, awali Wema
na Esma walikuwa hawaivi lakini juzi Aunt aliwakalisha na kuwataka
wamalize tofauti zao ambapo kila mmoja aliona ni heri iwe hivyo.
“Si unajua Wema na yule wifi yake Esma walikuwa hawaivi tangu Diamond aamue kuachana naye?
Wema Sepetu akiwa na shoga yake Aunt Ezekiel.
Kimsingi walifikia hatua mbaya, huwezi kuamini kama ni wale waliokuwa
wanaitana wifi lakini juzi Aunt kafanikiwa kuwapatanisha,” kilidai
chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake.Baada ya kuzipata habari hizo, mwandishi wetu aliwatafuta Wema na Esma bila mafanikio lakini Aunt alipatikana na kukiri kufanya kazi hiyo.
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.