Wednesday, February 25, 2015

Anonymous

Leo kwenye U Heard, Ni story inamhusu STARA THOMAS KUFUMANIWA!

Moja ya story ambazo zilichukua headlines kwenye MAGAZETI kuanzia wiki iliyopita ni taarifa ya kuwepo kwa mgogoro kati ya staa wa muziki za Zouk Tanzania, Stara Thomas na mume wake huku sababu ikiandikwa kwamba mume huyo alimfumania mke wake na mtu mwingine.

Soudy Brown leo kamtafuta mwanamuziki huyo na kumuuliza ishu hiyo, Stara amesema inahitaji busara kulizungumzia hilo hivyo kwa sasa yuko kimya lakini ataongea kila kitu wakati sahihi ukifika. Kuisikiliza U Heard hiyo bonyeza play au download hapa chini.

JB Ataja Waigizaji Ambao Anavutiwa Kuigiza Nao!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.