Wanajeshi nchini Chad.
JESHI la Chad limetangaza kuwa, wanamgambo mia mbili na saba wa kundi la Boko Haram wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Cameroon.Hivi karibuni nchi jirani na Nigeria ziliunda kikosi maalumu cha kupambana na wanamgambo wa Boko Haram baada ya kushadidi mashambulio ya wanamgambo hao na kuhatarisha usalama wa raia
Leo kwenye U Heard, Ni story inamhusu STARA THOMAS KUFUMANIWA!
===>>SIKILIZA LIVE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>SIKILIZA LIVE HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.