Thursday, February 26, 2015

Anonymous

HATARI SANA: MAIMARTHA AMFUNDA AUNTY LULU KULALALA GESTI

WAANDISHI WETU/Amani
MTANGAZAJI maarufu wa Runinga, Maimartha Jesse hivi karibuni aliamua kumtolea uvivu, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ kwa kumpa kitchen party ya nguvu.

Mtangazaji maarufu wa Runinga, Maimartha Jesse.
Akichonga na Centre Spread, Mai alisema kuwa anachoumia ni kwamba kila mtu mjini hapa anamsema Lulu vibaya wakati yeye alikuwa ni rafiki yake wa karibu. 
“Kama atalia na alie, kama atacheka na acheke lakini nimeshachoka na mambo yake kwa sababu yeye ni umiza kichwa, anasumbua vichwa vya watu kwa matendo yake,” alisema Mai.
Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’
Aidha, Mai alisema anamsema Lulu kama mdogo wake na mtu aliyemfanya akapata jina mjini hapa kuwa aache tabia ya kulalala gesti na  kuwa karibu na wanaume wasio riziki.
MASKINI AFANDE SELE: DADA 'AKE AFARIKI GUEST AKIWA MTUPU! 
===>>SHUKA NAYO HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.