Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo,ambaye nimwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapa amebuni aina mpya ya ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari unaoambatana naye anapokuwa katika ziara yake za kikazi 

Aina hiyo ya ulinzi na msafara unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa, akiwemo Rais na Waziri Mkuu ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kugharimu kiasi kikubwa cha Pesa.
DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUPAA! ACHUKUA TUZO HII NCHINI UGANDA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.