Sunday, February 15, 2015

Anonymous

Gadner G Habash 'Ndugu Zangu Nawauliza Nimjibu au Nisimjibu Huyo Anayedhani Yeye Malaika Anayekosewa Yeye tu?'

Baada ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash Kufunguka kisa cha kumuacha Habash Hatimaye Gadner na Yeye amekuja na Hili Hapa Chini:

Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Valentine hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya @robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu @abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM.
Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??

MOTO WATEKETEZA VIWANDA, MADUKA ENEO LA KIBANGU JIJINI DAR!===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.