Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima akipozi kwenye 'Red Carpet'.
Na Shani Ramadhani/Uwazi
MTANGAZAJI wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini.
Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar ambapo
Sauda alikuwa ameambatana na mumewe, Kauli Juma huku sehemu ya kifua
chake ikiacha nido zake wazi kutokana na nguo aliyokuwa ameivaa.
“Jamani hivi siku hizi imekuwa ni fasheni watu kuanika vifua vyao?
Mnamuona Sauda na nguo aliyovaa, inaonekana ni ndogo sana hasa pale
kifuani kwa sababu nido zote nje, pale akiinama tu zinachomoka mweeeh!,”
aliongea mmoja wa watu waliokuwepo ukumbini hapo.
MAJONZI TELE: MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI!===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.