Saturday, February 28, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: [MSIBA MZITO] MHESHIMIWA KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA!

MSIBA MZITO: Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (pichani), amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jiijini Dar, mtoto wa marehemu Herman Komba amethibitisha huku akilia. HABARI ZAIDI KUWAJIA HIVI PUNDE.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.