Tuesday, February 10, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: MOTO MKUBWA JIJINI DAR WAUNGUZA GHOROFA!

 Moshi mkubwa ukiwa umetanda katika paa la jengo hilo lililopo katika mtaa wa Jamhuri jijini Dar.
Dar es Salaam, Tanzania. Moto mkubwa umezuka hivi punde katika nyumba iliyopo Mtaa wa Jamhuri na Mosque jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali mbalimbali.

Taarifa za awali zinaeleza bado chanzo cha moto huo hakijafahamika. Tayari polisi wa zimamoto wamewasili eneo la tukio katika Mtaa wa Jamhuri na Mosque. Pia, askari wa Jeshi la Polisi wamewasili kaktika eneo la tukio. Eneo la tukio baadhi ya mashuhuda sasa wanaokoa gari moja ambalo lipo karibu na nyumba inayoteketea.
HUWEZI AMINI! Mtoto Afungwa kwa Kutumia Mnyororo Kwenye Kitanda cha Chuma kwa Muda wa Miaka Miwili!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!  

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.