Tukio hilo limetokea jana Iringa Mjini maeneo ya Kihesa, baada ya majirani kutoa taarifa kwenye serikali ya mtaa kuwa kuna babu anamfungia ndani na kumnyima chakula mtoto wake mwenye miaka kumi ambaye ni mlemavu wa akili.
Picha kama mnavyoiona hapo, dada wa kazi wa binti babu huyo sasa bado yupo kituo cha polisi hapa mjini kwa mahijiano zaidi.
Picha kama mnavyoiona hapo, dada wa kazi wa binti babu huyo sasa bado yupo kituo cha polisi hapa mjini kwa mahijiano zaidi.
Uchaguzi Mkuu 2015: Polisi yaapa Kukabiliana na Vurugu za Aina Yoyote...“Tutawakomesha Waleta Vurugu”
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.